Nafasi ya uhifadhi mara dufu katika vifurushi vyetu vyote vya usajili wa wavuti.
Vifurushi vyetu vya kuuza tena vina nafasi ya kutosha kukuwezesha kusajili wavuti bila kikomo, na uwezo wa kuiendesha mwenyewe tovuti yako. Kampuni za usajili zinazonunua haki ya kusajili wavuti kutoka kwetu wana uwezo wa kutengeneza vifurushi vyao vya usajili wa wavuti zenye idadi tofauti tofauti za barua pepe, dondoo kuonyesha kama barua pepe zako zimefika, uwezo wa kutuma data kutoka mtandaoni na database za MySQL. Anuani zako za barua pepe zinaweza zikafanya kazi kwenye mfumo wa Outlook, BlackBerry, Android, iPhone, Appple Mail pamoja na njia zingine zinazotumia wavuti.
Furahia huduma kwa saa 24 siku 7 za wiki.
Starter
Nafasi ya uhifadhi GB 4
Mkonga wa GB 80 kwa mwezi
Tovuti iliyosajiliwa
Seva ya majina binafsi
Shilingi 360,000 kwa mwaka
Reseller I
Nafasi ya uhifadhi GB 10
Mkonga wa GB 200 kwa mwezi
Tovuti iliyosajiliwa
Seva ya majina binafsi
Shilingi 660,000 kwa mwaka
Reseller II
Nafasi ya uhifadhi GB 20
Mkonga wa GB 400 kwa mwezi
Tovuti iliyosajiliwa
Seva ya majina binafsi
Shilingi 1,060,000 kwa mwaka
Reseller III
Nafasi ya uhifadhi GB 40
Mkonga wa GB 800 kwa mwezi
Tovuti iliyosajiliwa
Seva ya majina binafsi