Change Language: English

Kampuni Nambari #1 Kuhodhi Wavuti Tanzania & Wasajili wa .TZ

Vifurushi vyetu vyote vinakuja na anuani za barua pepe bila kikomo, taarifa kuonyesha kama barua pepe zako zimefika mlengwa, uwezo wa kutuma barua pepe kwa watu wengi kwenye kikundi kimoja ulichokusudia na database za MySQL. Anuani zako za barua pepe zinaweza zikafanya kazi kwenye mfumo wa Outlook, BlackBerry, Android, Iphone, Appple Mail pamoja na njia nyingine zinazotumia wavuti.


Mwezi wa kwanza, web hosting bure, chagua kifurushi yeyote hapo chini.

Kifurushi cha Binafsi

Jina la tovuti .TZ
0.5 GB Nafasi ya Kuhifadhi
Mkongo wa GB 10 kwa mwezi

Shillingi 25,000


Kuendelea Shillingi 9,000 kwa mwezi

Kifurushi cha Ofisi Ndogo

Jina la tovuti .TZ
1 GB Nafasi ya Kuhifadhi
Mkongo wa GB 20 kwa mwezi

Shillingi 25,000


Kuendelea Shillingi 16,000 kwa mwezi

Kifurushi cha Kampuni

Jina la tovuti .TZ
2 GB Nafasi ya Kuhifadhi
Mkongo wa GB 40 kwa mwezi

Shillingi 25,000


Kuendelea Shillingi 26,000 kwa mwezi

Kifurushi cha Biashara

Jina la tovuti .TZ
4 GB Nafasi ya Kuhifadhi
Mkongo wa GB 80 kwa mwezi

Shillingi 25,000


Kuendelea Shillingi 36,000 kwa mwezi

Vifurushi zote hapo juu inayo usajili wa jina la tovuti ya .tz kwa mwaka moja. Kuendelea kutumia tovuti yako, inabidi ulipe tena kurenew baada ya mwaka moja. Promosheni ya web hosting, mwaka wa kwanza bure ni kwa wateja wanao taka kulipa kwa kila mwezi tu, na itaendelea kwa bei zilizotajwa kila mwezi.

Kampuni Nambari #1 Kuhodhi Wavuti Tanzania & Wasajili wa .TZ

Top .TZ Registrar

Extreme Web Technologies ni msajili nambari moja wa tzNIC. Tumesajili .TZ domains zaidi ya 3,500.

Uzoefu wa Miaka 10+

Wewe ni katika kampuni kubwa. Extreme Web Technologies ina uzoefu zaidi ya miaka 10 kutoa huduma ya kusajili domains pamoja na sekta wa kuhodhi wavuti.

Kuaminiwa na Maelfu

Extreme Web Technologies inachukua kiburi katika kuwahudumia maelfu ya wateja, kutoka usajili wa jina la tovuti (domain) pamoja na kuhodhi wavuti vyao.

Huduma kwa Wateja

Furahia huduma kwa mteja saa 24 siku 7 za wiki. Tupo hapa wakati unahitaji huduma! Mwitikio wetu wastani muda ni chini ya saa 1 wakati wa saa za kazi, na ndani ya masaa 4 masaa nje za kazi.


Unahamia Extreme Website Technologies?

Basi karibu. Tuna timu mahsusi kwa ajili ya kukusaidia wewe kuhama kutoka msajili mwingine wa tovuti kuja kwetu hata ikiwa ni siku ya Jumapili. Tutakusaidia kuhamisha tovuti yako na tutahakikisha kila kitu kinakwenda vizuri kama inavyotakiwa na tovuti yako kufanya kazi haraka iwezekanavyo. Hii ni huduma isiyokuwa na usumbufu na zaidi, ni bure.

Huduma kwa mteja saa 24 siku 7 za wiki

Tumekuwa tukiwahudumia wateja tangu mwaka 2004 kwa hiyo tunajua vyema kuwa unahitaji msaada wa saa 24 kutoka kwa wataalamu wetu. Timu yetu ya huduma kwa mteja inapatikana kwenye simu kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.

Asilimia 99.5 ya ufanyaji kazi wa wavuti

Kila kifurushi chetu cha kuhodhi wavuti kina asilimia 99.5 ya kufanya kazi kwa ufanisi. Tunazichunguza seva zetu kwa kupitia mtoa huduma wa nje ambaye hufanya kazi ya kuangalia utendaji wa kazi wa seva zetu siku nzima. Wafanyakazi wetu wa huduma kwa mteja wanataarifiwa hatua muhimu za kufuata kuweza rekebisha haraka iwezekanavyo.

Njia ya malipo na kuanza matumizi

Inachukua saa moja tu kwa timu yetu kukamilisha malipo ya usajili wa wavuti ikiwa ni katika saa za kazi na itachukua saa 4 hadi saa 24 kabla ya tovuti yako kuanza kazi. Tunapokea malipo kupitia njia hizi:

  • Malipo ya fedha ama cheki ofisini kwetu
  • Malipo ya mtandao wa simu kama Mpesa, Tigo Pesa na Airtel Money
  • Malipo kupitia benki
  • Malipo ya mtandaoni kama Paypal na Kadi za Benki
Tunasherehekea miaka 10 ya kutoa huduma bora ya usajili wa wavuti nchini tangu mwaka 2004 ukisaidiwa na kitengo chetu rafiki cha huduma kwa mteja na chenye kutoa msaada saa 24, siku 7 za wiki.
Extreme Web Technologies ni kampuni nambari moja iliyodhibitishwa na bodi ya usajili wa makampuni ya kuhodhi wavuti Tanzania, tzNIC.

Miundombinu

Kampuni yetu hupewa huduma ya data kutoka kampuni mbili za Kimarekani; Equinix (www.equinix.com) na SARA Computing (www.sara.nl ). Kampuni hizi mbili ndio bora zaidi kwenye soko la uuzaji wa nafasi za wavuti. Vitovu vyetu vya data vimeundwa na kuendeshwa katika mfumo ambao utamridhisha kila aina ya mteja.

  • Uwezo wa kufanya kazi hata pale umeme unapokatika kwa muda mrefu
  • Milango inayofunguliwa kwa sauti ama dole gumba
  • Walinzi saa 24 siku 7 za wiki
  • Makabati
  • Kamera za ulinzi za kurekodi matukio

Njia rahisi ya kuweka web applications

Je unataka kuanzisha blogu yako ama kikundi? Unaweza kufanya hivyo haraka na kwa urahisi kupitia Softaculous inayopatikana kwenye akaunti ya kifurushi yako. Softaculous ni mkusanyiko ya web applications amri zaidi ya 300.