Change Language: English

Kwa nini unahitaji kuwa na tovuti?

Bado tu huna tovuti? Ngoja tukupe sababu za kwa nini ni muhimu ukawa na tovuti. Soma blogu yetu hapa.

  • Tovuti hufanya kazi saa 24, siku 7 za wiki kwa mwaka mzima
  • Tovuti huwafanya wateja wakupate kwa urahisi
  • Mshindani wako amekuzidi
  • Barua pepe zenye jina la biashara yako huleta uaminifu kwa wateja
  • Tovuti ina gharama nafuu zaidi kuliko njia zingine za matangazo ya biashara

Kila kitu unachokihitaji kipo hapa.

Mandhari
Jipatie mandhari sanifu yenye kupendezesha tovuti yako katika kompyuta, tablet pamoja na simu.
Kurasa
Andika masuala mbalimbali kupitia text editor na uone kazi yako muda huo huo.
Blogu
Ifanye tovuti yako iwe ya kisasa kwa kuongeza vitu vipya vinavyotokea, habari na matukio.
Albamu ya picha
Vuta na tupia picha zako kwenye kurasa zako ama badilisha muonekano wa kurasa zako.
Menyu
Iunganishe tovuti yako na tovuti zingine au kurasa nyingine kwenye tovuti yako.
Watumiaji wengi
Utaweza kuwaruhusu wengine waendeshe tovuti yako na unaweza ukadhibiti matumizi yao.
Fomu
Kusanya taarifa za watu wote wanaotembelea tovuti yako katika dakika chache
Duka la mtandao
Anzisha duka la mtandaoni kutangaza bidhaa zako

Huduma zetu za wavuti zimeshatumiwa na:

Assad Associates Escape Ltd Tehsin Takim Sleep Inn Hotel Benson Security Systems Secure 7 Systems

Ulizia Bei