Change Language: English

Resources

Some cool things we think you ought to know about.

What is a web address? (SW)
What is a web address? (SW)

19 Jul 2020
We're sorry, this page has not been translated into Swahili yet. Please check back soon. A web address, also called a domain name, is the starting point of a web presence. They’re registered for minimum duration of 1 year upto 5 to 10 years...

endelea kusoma »

SSL inahitajika kwenye tovuti yako.
SSL inahitajika kwenye tovuti yako.

30 Sep 2018
We're sorry, this page has not been translated into Swahili yet. Please check back soon. Your website should most likely be labelled with “Not Secure”. What does it mean, and how do you get it fixed? Background Nearly two...

endelea kusoma »

Chapa kazi kwenye kifaa chochote mahali popote
Chapa kazi kwenye kifaa chochote mahali popote

23 Jan 2017
Ulishawahi kukosa dili la hela kwasababu umepata dharura na ukashindwa kukamilisha kazi kwa wakati? Microsoft wanakwambia tumia kifaa chako mahali popote ulipo kupitia program ya Office365 kukamilisha mipango yako ya kibiashara au kiofisi,...

endelea kusoma »

Umuhimu wa kuwa na barua pepe ya biashara
Umuhimu wa kuwa na barua pepe ya biashara

16 Jan 2017
Unakumbuka lile sakata la mmoja wa wagombea kiti cha Urais nchini Marekani kukumbwa na kashfa ya kutumia anwani ya barua pepe binafsi kufanya shughuli za Serikali? Au umeshawahi kuona barua pepe (Pengine unayo unaitumia) ikiwa na mchanganyiko wa...

endelea kusoma »

Remember to verify your registrant contact
Remember to verify your registrant contact

21 Mei 2016
We're sorry, this page has not been translated into Swahili yet. Please check back soon. WHOIS database is a public database that lists a domain owners information. The most important contact in the WHOIS database is the registrant contact,...

endelea kusoma »

Kwa nini unahitaji kuwa na tovuti
Kwa nini unahitaji kuwa na tovuti

24 Apr 2015
Je bado huna tovuti? Zifuatazo ni sababu za kwa nini uwe na tovuti. 1. Tovuti yako hupatikana mwaka mzima kwa siku 7 za wiki, saa 24. Endapo utafungua tovuti, itakuwa wazi na itakuwa ikitoa taarifa muhimu kwa wateja wako saa 24...

endelea kusoma »

Kwa nini hatuna huduma isiyo na kikomo ya kuhodhi wavuti
Kwa nini hatuna huduma isiyo na kikomo ya kuhodhi wavuti

27 Feb 2015
Tumekutana na wateja wengi ambao wanataka haki za kuhodhi wavuti bila kikomo. Kitini hiki kitakuelezea kwa nini hatutoi huduma hiyo na kwa nini hutakiwi kuwa na msajili wa wavuti anayeweza kukupa haki za kuhodhi bila kikomo. Kuhodhi...

endelea kusoma »

1

Change Language: English

Tafuta