Change Language: English

Testimonials

What our awesome customers think of our customer happiness team.

Testimonial from The Safari Soap Company
Testimonial from The Safari Soap Company

30 Jun 2017
Sorry - this post is not available in Swahili at this time. " We are a young company seeking to get a Tanzania website domain from ours in the USA, especially so we could have a branded email address. We didn’t know where to begin or what...

endelea kusoma »

Testimonial from Dr. Carolina Benalal
Testimonial from Dr. Carolina Benalal

12 Jul 2016
“I must say I have worked with many international companies and your service is amazing. Surprising for a Tanzanian company I must say.” – Dr. Carolina Benalal

endelea kusoma »

Shuhuda: Francois Schreuder
Shuhuda: Francois Schreuder

30 Jan 2015
"Sajida upo juu! Asante sana!" - Francois Schreuder

endelea kusoma »

Shuhuda: Sleep Inn Hotel
Shuhuda: Sleep Inn Hotel

03 Jan 2015
"Wafanyakazi wa Extreme Web Technologies ni wajuzi na wana uzoefu mkubwa kwenye sekta ya teknohama. Natarajia kutoka kwao huduma bora na utatuzi wenye kuonyesha mafanikio kutatua matatizo ya kiteknolojia yanayotukabili. Tukiwa na Extreme...

endelea kusoma »

Shuhuda: Oscar, Tanzania Escapade
Shuhuda: Oscar, Tanzania Escapade

18 Nov 2014
"Hawa jamaa wana akili sana! Nimepata ninachokihitaji bila ucheleweshwaji wowote. Kazi nzuri!" - Oscar, Tanzania Escapade

endelea kusoma »

Shuhuda: Derek
Shuhuda: Derek

17 Nov 2014
"Daima Extreme Web Technologies imekuwa ikionesha huduma na msaada kuliko makampuni mengine ya kimataifa niliyoyazoea kabla." - Derek

endelea kusoma »

Shuhuda: Francois
Shuhuda: Francois

10 Nov 2014
"Kama kawaida, huduma bora kwa wateja!" - Francois

endelea kusoma »

Shuhuda: Kim, Kimwebspace
Shuhuda: Kim, Kimwebspace

07 Nov 2014
"Nimekuwa nikipata huduma nzuri na msaada mkubwa kwenye masuala yote ya usajili wa wavuti kutoka kwenu." - Kim, Kimwebspace

endelea kusoma »

Mjumbe kutoka mteja mwenye furaha sana
Mjumbe kutoka mteja mwenye furaha sana

23 Okt 2014
Huu ni ujumbe uliopo kwenye ubao wetu hapa ofisini kutoka kwa mteja aliyefurahi. Asante Doris, tunashukuru kwa hilo!

endelea kusoma »

Shuhuda: Kessy Safari Tours
Shuhuda: Kessy Safari Tours

17 Okt 2014
"Huduma zao ni za haraka, zenye kuzingatia maadili ya kazi, weledi na zinatolewa kwa wakati muafaka. Kwa kifupi ni huduma unazoweza kuzitegemea na zenye kufanya kazi vizuri. Pamoja na Sajida, Extreme Web Technologies ina timu nzuri yenye kufanya...

endelea kusoma »

1 2

Change Language: English

Tafuta