Change Language: English

Blogu

Muda wa Ofisi kuanzia Julai 18.
Muda wa Ofisi kuanzia Julai 18.

22 Jun 2015
Ramadhan Kareem! Tutakuwa tunafunga ofisi zetu mapema, saa 10 jioni kila siku kwa sababu ya mwezi wa Ramadhan kutoka Juni 18 hadi Julai 20, 2015. Muda za kawaida vitaanza siku ya Julai 20, 2015. Kwa msaada wowote baada ya saa 10 jioni,...

endelea kusoma »

Kwa nini unahitaji kuwa na tovuti
Kwa nini unahitaji kuwa na tovuti

24 Apr 2015
Je bado huna tovuti? Zifuatazo ni sababu za kwa nini uwe na tovuti. 1. Tovuti yako hupatikana mwaka mzima kwa siku 7 za wiki, saa 24. Endapo utafungua tovuti, itakuwa wazi na itakuwa ikitoa taarifa muhimu kwa wateja wako saa 24...

endelea kusoma »

Kwa nini hatuna huduma isiyo na kikomo ya kuhodhi wavuti
Kwa nini hatuna huduma isiyo na kikomo ya kuhodhi wavuti

27 Feb 2015
Tumekutana na wateja wengi ambao wanataka haki za kuhodhi wavuti bila kikomo. Kitini hiki kitakuelezea kwa nini hatutoi huduma hiyo na kwa nini hutakiwi kuwa na msajili wa wavuti anayeweza kukupa haki za kuhodhi bila kikomo. Kuhodhi...

endelea kusoma »

Shuhuda: Francois Schreuder
Shuhuda: Francois Schreuder

30 Jan 2015
"Sajida upo juu! Asante sana!" - Francois Schreuder

endelea kusoma »

Shuhuda: Sleep Inn Hotel
Shuhuda: Sleep Inn Hotel

03 Jan 2015
"Wafanyakazi wa Extreme Web Technologies ni wajuzi na wana uzoefu mkubwa kwenye sekta ya teknohama. Natarajia kutoka kwao huduma bora na utatuzi wenye kuonyesha mafanikio kutatua matatizo ya kiteknolojia yanayotukabili. Tukiwa na Extreme...

endelea kusoma »

Tunakutangazia mpango kabambe wa huduma maradufu za nafasi ya uhifadhi
Tunakutangazia mpango kabambe wa huduma maradufu za nafasi ya uhifadhi

12 Des 2014
Disemba hii tumefikia hatua kubwa. Tunasherehekea miaka kumi ya kutoa huduma bora za usajili wa wavuti tangu mwaka 2004, tukiwa na kitengo rafiki cha huduma kwa wateja kinachofanya kazi saa 24, siku 7 za wiki. Kwa niaba ya Extreme Web...

endelea kusoma »

Shuhuda: Oscar, Tanzania Escapade
Shuhuda: Oscar, Tanzania Escapade

18 Nov 2014
"Hawa jamaa wana akili sana! Nimepata ninachokihitaji bila ucheleweshwaji wowote. Kazi nzuri!" - Oscar, Tanzania Escapade

endelea kusoma »

Shuhuda: Derek
Shuhuda: Derek

17 Nov 2014
"Daima Extreme Web Technologies imekuwa ikionesha huduma na msaada kuliko makampuni mengine ya kimataifa niliyoyazoea kabla." - Derek

endelea kusoma »

Shuhuda: Francois
Shuhuda: Francois

10 Nov 2014
"Kama kawaida, huduma bora kwa wateja!" - Francois

endelea kusoma »

Shuhuda: Kim, Kimwebspace
Shuhuda: Kim, Kimwebspace

07 Nov 2014
"Nimekuwa nikipata huduma nzuri na msaada mkubwa kwenye masuala yote ya usajili wa wavuti kutoka kwenu." - Kim, Kimwebspace

endelea kusoma »

1 2 3 4 5

Change Language: English

Tafuta