Change Language: English

Blogu

Mjumbe kutoka mteja mwenye furaha sana
Mjumbe kutoka mteja mwenye furaha sana

23 Okt 2014
Huu ni ujumbe uliopo kwenye ubao wetu hapa ofisini kutoka kwa mteja aliyefurahi. Asante Doris, tunashukuru kwa hilo!

endelea kusoma »

Shuhuda: Kessy Safari Tours
Shuhuda: Kessy Safari Tours

17 Okt 2014
"Huduma zao ni za haraka, zenye kuzingatia maadili ya kazi, weledi na zinatolewa kwa wakati muafaka. Kwa kifupi ni huduma unazoweza kuzitegemea na zenye kufanya kazi vizuri. Pamoja na Sajida, Extreme Web Technologies ina timu nzuri yenye kufanya...

endelea kusoma »

Shuhuda: Gerald, Tanmush
Shuhuda: Gerald, Tanmush

04 Sep 2014
"Mitesh amekuwa akishughulikia kwa haraka sana masuala yote ambayo nimekuwa nikitaarifu timu ya kutoa msaada." - Gerald, Tanmush

endelea kusoma »

Shuhuda: James, NetResult Web Marketing
Shuhuda: James, NetResult Web Marketing

21 Ago 2014
"Maelezo aliyotoa Mohsin yalinisaidia kuelewa. Maelezo ya ziada yalinifanya nielewe zaidi. Asanteni nyote kwa msaada wenu." - James, NetResult Web Marketing

endelea kusoma »

Shuhuda: Paschal, KESS
Shuhuda: Paschal, KESS

14 Ago 2014
"Daima huwa napata msaada wa haraka kutoka kwa Sajida ambaye anajali na anaonekana kuijua vizuri kazi yake." - Paschal, KESS

endelea kusoma »

Shuhuda: Sysconet
Shuhuda: Sysconet

12 Ago 2014
"Sajida aliniuliza maswali sahihi na aliweza kutatua tatizo." - Hussein, Sysconet

endelea kusoma »

1 2 3 4 5

Change Language: English

Tafuta